Deshmo
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 4,820
- 4,264
Chosha sana kule mtaa wa sabaKweli kabisa nimetoka kwenye jukwaa la siasa huku ni lissu lissu magufuri magufuri na mipasho tu agghhhrrrrrrr
KaribuI'll be back.
Mmoja mhangaMimi huwa najiuliza sana kwa hawa team wema na team zari hivi kutukanana kote kisa tu unampenda star flan? mpende bila matusi mbona inawezekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tupo umepotea wewe
HahahahaChosha sana kule mtaa wa saba
Good afternoon my QueenGood afternoon
Mhanga muhengaMmoja mhanga
Karibu