Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

20067439_263493107390178_1533003754998071296_n.jpg
 
lol! Juzi nilikuwekea picha yako umekumbatiwa kumbe bado kabisa binti mzuri humu unatuzuga eti weye ni bibi lol!

Mmmmh jamani eeeeh naona unanitupia vibomu ukijua mzee kamwe ujana kurudi haurudi...Naona hautaki kukubali... haya basi subiri siku moja nikirusha nitakutag tena humu uoine... bado nasubiri majibu yale nilikuuliza ule uzi jamani.. eeeh
 
Back
Top Bottom