Toa like upewe likes ndiyo mwendoNimemaliza kuandika vowels, hebu nipeni likes za nguvu
Mbona kapewa nyingi sana hujaona mkuu[emoji23]Bado nasema watanzania wengi wanaroho mbaya ya wivu, mnashindwaje kumpa mleta mada likes jamani hata kufika nusu ya posts...duh!
ahaa yana sukari ama yana asali wew isisMaisha ni matamu
Toa like upewe likesAh ah sasa wakuu mbona mnanibagua kwenye hizo likes aisee..
Na fausta.Plus faru john
Break imeisha??Ngoja na mie nikazane nivune....
Usiliwazie we nyonya tu.Mmh.
Aisee mkuu ni shida huu uzi kila nikufungua nakuta thread 2569 zishapostiwa.Hata Makapuku tunawa like pia.
Toa vitu upewe vituAh ah sasa wakuu mbona mnanibagua kwenye hizo likes aisee..