mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
yaani Mimi nalike kila comment
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]coco ushaanza mambo yako ya lumumba we kula likes ukitaka hayo mambo pita majukwaa mengine hapa watu tumepona stress za makinikia ..
Utaniua wewe jamani.asante.Nimekuongeza na nyingine
Hahahaaaa usiiinue macho bila kuweka dole kwenye likes....Nitayainua macho yangu niitazame likes
Asali na miwa! The Originalsahaa yana sukari ama yana asali wew isis
Well said brother!rehema za mungu
Hata shida tuna zi like tu, Mbaraka Mwinshehe alisema shida haiishi mpaka siku ya mwisho.Aisee mkuu ni shida huu uzi kila nikufungua nakuta thread 2569 zishapostiwa.
Break imeisha??
Oh hallelujah.Mwenye Enzi Mungu atuwezeshe milele