andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kupitia uzi huu, kuishi bila vyama vya siasa inawezekana. Natamani hata nisirudi jukwaa la kule. Mwenye uwezo wa kuniroga na aniroge kwa faida yanguNitazidi kuupenda uzi huu sababu hauna siasa yoyote ndani yake!
Na inapendeza tunapokuwa sehemu bila kuangaliana kwa jicho pande.