Like kwanza ndio tutakupa majibu
Huna habari?pale bandarini yanakomaa.Hivi kumbe tunalina na makinikia
Mtume wa Like, nimelike hii.Hahahaha Nabii wa like hii nimelike
[emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8][emoji7] [emoji7] [emoji7]
Tunamuundia tume huru.....likeKwa taarifa nilizo zipata sizizo rasmi,.. Kutoka chanzo kisicho aminika Jembekillo ametekwa na watu wasiojulikana wakimshinikiza kuondoa hii thread.. Nitaendelea kuwapa update kadri nitakavyo pata taarifa zaidi
Na hawatofanikiwa.....Kwa taarifa nilizo zipata sizizo rasmi,.. Kutoka chanzo kisicho aminika Jembekillo ametekwa na watu wasiojulikana wakimshinikiza kuondoa hii thread.. Nitaendelea kuwapa update kadri nitakavyo pata taarifa zaidi