Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupokea likes bila kupost kitu cha maana ni raha sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kupokea likes bila kupost kitu cha maana ni raha sana.
Uchawi ni mwingi huko Mkuu.
Id yake tafadhali kama yupo humu tumpe like za kutosha
Na kesho pia ni LIKES.Leo likes tu
Huku hatulitumii hilo neno. Badilisha weka LIKE*****
Koromije shule ya msingi.mjini chuo kikuu....
Na bado [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa cha mtoto ,mafuriko ya likes yanakujaSijawahi ona mtiririko wa likes kama huu....aiseee
habari za mimi kutoa likes kwa watu msionipa za kwenu. mimi pia binadamu. nawachoka mjue
Hao watu wapo sana Mkuu, dawa na wewe usiwape.habari za mimi kutoa likes kwa watu msionipa za kwenu. mimi pia binadamu. nawachoka mjue