Duuuh love jamanWe siulisema wadada kumbe mimi sie...acha nikachukue like yangu
Mmoja katafunwa huko Alaska akijaribu kupiga selfie na grizzly bear.
Issue ya matusi kwa kweli inakera sana tena sanaWakuu
Jaribuni
Kuji Control msitukane
Nawaombeni sisi wengine tunasoma
Post so tunavyo ona post zenu mnatuondolea upako please wakuu
Ukimbizi na serikali hii ya Trump mhh. Tena kutoka Afrika?
Post chochote upate likesTunaomba upost chochote
Lakini matusi sio powa
Ukiona kakukwaza kamtukane PM