carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23]we nichokoze tu na hivi nsamaka hayupo[emoji23][emoji23][emoji23]...poa habari ya majukumuUsijitege lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo vipi
[emoji23][emoji23]we nichokoze tu na hivi nsamaka hayupo[emoji23][emoji23][emoji23]...poa habari ya majukumuUsijitege lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo vipi
Namshukuru Mungu kwa kuwa bado ametufanya wa thamani sana.Sisi ni nani katika hii dunia hadi tuwepo hai? Ni dhahiri ana makusudi na sisi...Kwema kabisa Mkuu, vipi wewe Mkuu? Weekend hiyo ndiyo inazidi kujisogeza.
Mchimba kisima (or kiwi) huingia (or hutumbika) mwenyewe.
Nshajikata mara nyingi tu! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mfyeka msitu mwisho hujikata mwenyewe.
Kuna mzee namuonaBabe kulikoni tena?mbona umenuna?shida ni nini et
Waaleykum salaam...habari ya wewe moud
Namshukuru Mungu kwa kuwa bado ametufanya wa thamani sana.Sisi ni nani katika hii dunia hadi tuwepo hai? Ni dhahiri ana makusudi na sisi...
Tupo mkuu. Karibu sana!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji378][emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]