uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Kichwa kichafuuu saa hizi kamwaga mauaridi kwenye kitandaNiko njiani naelekea kibiti
Kichwa kichafuuu saa hizi kamwaga mauaridi kwenye kitandaNiko njiani naelekea kibiti
Ila wakati mwingine wanaume mnatufanya tufanye vitu vya ajabu sana kwakweli,hapo usikute aliambiwa wanaume wanapenda wenye midomo mipana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakujibu kitandabui zaidi [emoji116] [emoji116] [emoji116]Tandabui ni nini?
Walahi kichwa kichafu
Nimeona!![]()
![]()
May be anatafuta lips nzuri kama za Anjolina Jolie...Mmmh mbona mwanzo anaonekana alikua mzuri tu,hiyo picha ya pili mdomo kama kang'atwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni addictiveCheap surgery kumbe daktari mwenyewe hajasomea. Wengine wanapoteza mpaka maisha!
Daah masikiniYani ndio maana nilimtafuta twende mwa Mods tukawaombe msamaha ila tulichelewa
I will give all of me for youYani wewe[emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio nina machungu hapa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
TandabuiTandabui Hahahaha
Mh this is bad na nina hakika ni irreversibleWanakimbilia Kolombia na Mexico wakidhani bei rahisi halafu wanakutana na madaktari feki matokeo yake yanakuwa si ya kupendeza!![]()
Me mzima namshukuru Mungumola anajaliaa uzima telee...
hope u mzima piaaaa
Nitafika hapo baada ya Dakika 20Hahaha...haya usijali..
Mimi tena [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Cole na huki tena unakaribishwa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Aaa wapi? Inasemekana alienda kanisani mchungaji akasema "Bring all your problems to God" ndo akakimbia home haraka kwenda kuleta problems zake..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Asante... Hahaha, ndo maana simuoni!???Tulikumiss sana ila ho chi minh amekumiss hadi amekuwa zezeta[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Don't cry baby am here for you love [emoji173] [emoji173] [emoji173]Cole na huki tena unakaribishwa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Inawezekana kwakweliMay be anatafuta lips nzuri kama za Anjolina Jolie...
Penda sana weye[emoji482] [emoji482] [emoji482] [emoji482][emoji482] [emoji482]