Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Sasa hapo ndo utashangaa nguvu ya Mahaba/na mapenzi yaani na sura yako ya baba hiyo hiyo, mi nakuona zaidi ya cleopatraMe naona ni ujinga tu,acha nibaki na sura yangu ya baba hiihii ila sikwenda jifanya katuni kama hao[emoji57][emoji57][emoji57]
Chukua rozariNiko njiani naelekea kibiti
Maumivu unayoyapata mama unaniumiza mimi zaidi.Hata hiyo haipandi tena acha nikatafute superglue nijaribu kukagandisha haka ka [emoji174][emoji174]
[emoji23][emoji23][emoji23]hebu niache mie na sura yangu ya babaSasa hapo ndo utashangaa nguvu ya Mahaba/na mapenzi yaani na sura yako ya baba hiyo hiyo, mi nakuona zaidi ya cleopatra
Zungumzeni vizuri myamalize maana unanitesa navyo ona machozi yako.Rudi nyumbani tuongee vizuri