Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_2784.JPG
BREAKING NEWS !
Tanzania imekuwa ya kwanza duniani kugundua uchochezi kwa kupima MKOJO wa mtuhumiwa !!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ash wapi ndiyo ilivyo siku hizi Dunia nzima!
Lazima wajue wana deal na nini!
Hebu mwache MAMA YANGU TANZANIA!
Usimseme vibaya maana midomo inaumba!
Vizazi vyetu vitakwenda wapi?
Msifu MAMA YETU TANZANIA NDIYO YEYE TULIE PEWA NA RABUKA MOLA WETU! TUMNENEE MANENO YENYE BARAKA MAMA YETU TANZANIA!
 
View attachment 547830

Mkuu waeleweshe hao,najua tatizo ni elimu na kuishi kwa mazowea,
Dunia inabadilika each and everyday.
 
Back
Top Bottom