mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kila jambo na wakati wake
Duuuh!hospital gani hiyo?Faili kuandikisha ni 15,000
Karibu hospital za serikali,pole kwa kuuguliwaNimeshuhudia mgonjwa ana breeding ya hatari lakini hakuna udharura wa kumuhudumia dr na nurse wanapiga domo tu
Huu ni wakati wa kuvuna milele yote!Wakati wa kuvuna na wakati wa kupanda
[emoji23][emoji23]sing'ati mimiKwsbb ww ni nyuki wa mashineni