Nawe umetamani eti[emoji23]Well said
Wewe umetoa ngapi huko posti za nyuma?Wakuu inabidi tuhakikishe kila post inayotumwa humu isome 5+ likes
Ukhuty sijamuona leoNaona wanachama wamepungua.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Siku hizi Jf raha kuna kipindi siku nzima nakosa like hata mtu wa kuniquote ila jembekillo kaleta mkombozi
wanalikeMbona kimya? Au watu wameenda beach?
Ha ha ha ha uzi ukifutwa na LIKES zote zinapotea, dah mungu aepushe hii kitu.Nimelike kila posti sibagui sijui nani ataniokoa siku kikinuka
Amekuwa masihi wetu.Siku hizi Jf raha kuna kipindi siku nzima nakosa like hata mtu wa kuniquote ila jembekillo kaleta mkombozi
Uzi ukifutwa likes huwa hazipotei ,zinazopotea ni idadi ya post tuHa ha ha ha uzi ukifutwa na LIKES zote zinapotea, dah mungu aepushe hii kitu.
Pata like mkuu!Nani ambae sijamgongea LIKE?
Watu mna mambo!
Insta nimeona picha za mazishi ya chiku daah mzee kaumia kweli,hata leyla pia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chukua hiyo mama mdogo.Oya mbona hamnip rike hizo
Nipo ndugu yangu. Habari yako?Nakuona
Hakuna rike......kuna likeOya mbona hamnip rike hizo