Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Umenitenga spendi[emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8]
Umenitenga spendi[emoji9][emoji9][emoji9][emoji8][emoji8]
Mmmmmmmmh, sema kweli Mkuu.Uzi ukifutwa likes huwa hazipotei ,zinazopotea ni idadi ya post tu
Acha hizo haipogo hioHa ha ha ha uzi ukifutwa na LIKES zote zinapotea, dah mungu aepushe hii kitu.
Naku admire snKuna watu wana like post zangu i say thank u much ila nikitaka kulike zao nakuta wameandika tusi mara *****,tiwa,tiwa utiwe sema ule ukweli utanisamehe sina mpango wa kulike maneno ya ajabu
Ha ha ha ha wasukuma bhana.Hakuna rike......kuna like
Thank u muchNaku admire sn
Ngoja nimuite makonda na gamboJaman natoa ofa kwa maccm popote yalipo...yakipita nitayapa like!! Kila moja na like yake!! Hamna siasa hapa!
nitakutumia picha za tukio zima baadaye PM ,nilikuwa eneo la tukioInsta nimeona picha za mazishi ya chiku daah mzee kaumia kweli,hata leyla pia
Jaza UjazweOya mbona hamnip rike hizo
Hakuna wa kumfananisha na masihi. Jembekillo ni binadam mwenzetu tuAmekuwa masihi wetu.
Yaah ndo hivyo ,utaonekana unapost chache lakini likes za kutoshaMmmmmmmmh, sema kweli Mkuu.
Sawa mkuu.Hakuna wa kumfananisha na masihi. Jembekillo ni binadam mwenzetu tu
Ni likes tu mpendwaNawe umetamani eti[emoji23]