Yaah ndo hivyo ,utaonekana unapost chache lakini likes za kutosha
nitakutumia picha za tukio zima baadaye PM ,nilikuwa eneo la tukio
RIPInsta nimeona picha za mazishi ya chiku daah mzee kaumia kweli,hata leyla pia
Hiyo rikeOya mbona hamnip rike hizo
Nawe macho kodoLike basi mkuu
Shimbonyi maHiyo rike
HahahahaView attachment 526511hii imenichekesha sana aisee hawa wez ni kiboko
Nimezipokeaaa kwa mikonooo swaaaafiiiiiUshapewa like zako mkuu!! Kiroho swafi!!
Hahaha wezi waroho haoView attachment 526511hii imenichekesha sana aisee hawa wez ni kiboko
Tsicha nawe pia wokoru?Shimbonyi ma
Pole sana, ninauzoefu wa kutibu watu wenye majeraha moyoniAcha tu ntaweweseka,tangu nifiwe na mtu muhimu kila msiba unaniumiza.
MzuriLeyla nampenda sana ...
Hahahaha jeraha langu sitaki litibiwe ni kama namfukuza mpendwa wanguPole sana, ninauzoefu wa kutibu watu wenye majeraha moyoni