Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ameshaelewa. Siku nyingine usibishane naye kuhusu haya mambo. Mwambie aje kwangu na nitamwelewesha vizuri tu. Nazijua mila za haya mambo a - z....Habari ndio hiyo, sisi wasukuma hatuzewagi akili km anavyodhani.