Nakukaribisha kwa furaha kubwa isiyo na kikomo kikomo chake ni pale ambapo hutokubali mualiko huu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kimya sana waungwana hata hakuna mialiko ya wkend,basi mialiko ya kwenye vikao vya harusi. Hata vikao vya talaka basi, mweh
Hv kule ww ndio mwenyekiti wa kijiji eti ehhh?Labda tufanye hivyo maana sielewi nini kinanisibu hadi imekuwa hivi
Kama kawaidaUnapokea
LabdaLakini
HuonjwaMuonja
YuleWewe