Kukodolea huu Uzi hahaha!Umeyafanyaje?
Ha ha ha ha ha ha haSpidi ya mwanga cha mtoto. Einstein itabidi abadilishe kauli...
Poa arifu aje man?Aisee arif aje?
Pengine unahitaji message kidogo ndo upumzike vizuri. Sema!Hahahahahah........inabidi! Ila kila nikitakabkuacha najikuta nimerudi...Uzi hatari huu
Wewe nenda ukanywe.Uji time is nearby
Wanaume wa Dar ama?Watu wanaveshwa sanda kila siku kwa ajili ya maumbo kama haya.
Ha ha ha ha tuendelee kukodoa MkuuKukodolea huu Uzi hahaha!
Nimeshakulike mbonatoa like acha mbwembwe
Chuo hiyo na wewe.Nashindwa kuelewa hizo likes zinaliwa? ?
We na we mbona sura yako inatia mashaka! Jogoo anawika Asubuhi?Na Kigwangalla aje pia akiwa ameandamana na James Delicious [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake wameona leo iwe siku ya kusema mabaya tu ya wababa ili siku yetu isifanikiwe, jaribuni kuona mazuri ya baba zenu na msahau mabaya ya michepuko yenu*Wakati unamlinganisha Baba na Mama na kudai mama ni bora kuliko baba*
*Mshukuru Baba kwa kukuchagulia Mama aliye bora*
*HAPPY FATHERS DAY*
Good Sunday