Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
WhyJf haijawahi kuwaacha salama followers wake....
WhyJf haijawahi kuwaacha salama followers wake....
Hizo hatuzihitajiTunauza Perfume na gifts set follow link
NoopTsicha nawe pia wokoru?
Nami nimekupa boss!! One love!!Nimezipokeaaa kwa mikonooo swaaaafiiiii
Pata like yangu kwanza
Hiyo ndugu yangu!gonga like
CoolNami nimekupa boss!! One love!!
Maneno ni mawili tu PATA-LIKE!!
Hiyo ndugu yangu!
Ama kweli Sandakarawe haijawahi kumuacha mtu salama
CHUKUA LIKE HIYO.Chochote......
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha haNdiyo maana ban hazikuishi wewe.
Duuuu,,,,we kula like tuu ila mim simchukiiNdiyo maana ban hazikuishi wewe.
Tufurahie malikespamoja sana..
Tsunami usiitaje kirahisi weweJoy to the world kwa mvua ya Tsunami! Well
HakikaHii ni jazwa ujazwe
Ni nchi ya kifisadi hii. Ufisadi sasa umetinga mpaka kwenye likes. Makanisani huko watu pia wanategemea miujiza wapate pesa za bure. Wanasiasa nao wanapiga. Mapolisi. Mahakimu. Bongo aisee tusilaumiane. Kila mtu mpigaji tu!Ni sawa na kupata mshahara bila kufanya kazi
Tsunami usiitaje kirahisi wewe