Like kwanza posts za wenyeji kisha ndo upewe likes na wewemimi ni mgenii, naombeni like za kutosha basi
Like kwanza posts za wenyeji kisha ndo upewe likes na wewemimi ni mgenii, naombeni like za kutosha basi
HahahahaMkuu hapa ni jaza ujazwe.... umetoa likes ?
Basi kumb jf bi dawa piaEbwana umenichekesha mpaka mapafu yameongeza uwezo wa kupitisha hewa naona.
Asante sana.
HahahahaWateule nimerud tena
Hapa hakuna itikadi pokea likesMbona mi sipewi likes?
Umejiunga May 2015 lakini unalikes mbili tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]mimi ni mgenii, naombeni like za kutosha basi
Like kwanza posts za wenyeji kisha ndo upewe likes na wewe
AISEE! LIKES KWA WINGI TAFADHARI TUOKOE JAHAZI HUKU.mimi ni mgenii, naombeni like za kutosha basi
NoooopMara mia
Hii yenyewe ni therapy ya hali ya juu! No stress just likes!Basi kumb jf bi dawa pia
Sawa ,hutaki kunifahamu mimi?Acha tu ntaweweseka,tangu nifiwe na mtu muhimu kila msiba unaniumiza.
Hiyo hapo Mkuunimekugonga like mkuu like na mimi
Mkuu usimfukuze, mpe maelekezo kuwa tumeletwa pamoja kwa ajili ya kupokea likes za kutosha bila hiana.Nenda mtaani kwenu Lumumba watakupa.