HahahahaNani aache likes aende kukufuru?
Mpiga adhana si ajabu naye yuko hapa anafakamia likes...Mbona hazana haipigwi watu tufturu?
Well saidNi dhambi kubwa kutotoa LIKES humu ndani.
Mkuu, ulikuwa wapi?Mko mbali aisee
Naombeni likes za kutosha kama makanikia vile
Sent from my TECNO_P5_PLUS using JamiiForums mobile app
One love!!Chukua na wewe hiyo mkuu
Anafakamia hahahahaMpiga adhana si ajabu naye yuko hapa anafakamia likes...
Kawaulize dada zako watakupa jibu!We na we mbona sura yako inatia mashaka! Jogoo anawika Asubuhi?
Nami nashangaaaaaNipo nikutenge wew ten
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hauwezi ukawa seriousNani aache likes aende kukufuru?
Mkuu, ulipotea humu ndani.
Aanhaa mkuuu tengua kauliMlioko mbele naomba like zenu.
Mimi niko huku nyuma nagawa like kama punje za mtama
Unataka ngapi?mbona 5 tuu jamanii?
Aisee hizi like zimenilemaza nashinda kwenye malike tuSana kwa kweli
One love! That's it!One love!!
Ha ha ha ha ha haHaziliwi ila ni chakula cha kisaikolojia - kwa baadhi ya watu ukiwemo wewe!
Yap ni mutanzania kabisaWEWE NI MTANZANIA KWELI "MARIKE"