Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Heri tu ndugu yangu ,ndo tunamalizia malizia vyungu vilivyobakiMkuu mfungo vipi
Heri tu ndugu yangu ,ndo tunamalizia malizia vyungu vilivyobakiMkuu mfungo vipi
Kule shuleni mlienda kusomea...Malizia kabisa na kibwagizo hicho mkuu...Adhana sio hazana
Haiadhiniwi sio haipigwi
Karibu sana
Huwa anatema pumba labdaUmejiunga May 2015 lakini unalikes mbili tu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ha ha ha ha ha watu wanapenda likes jamaniNani aache likes aende kukufuru?
Kula like kwa kuliona hiloUzi unakimbia hatari
Kwako wapi Mkuu?Karibuni wote nyumbani kwangu kwa ajiri ya futari
Karibu kwenye addiction! We acha tu!Aisee hizi like zimenilemaza nashinda kwenye malike tu
JamiiForums inakupongeza kwa majibu yako ya BusaraKamuulize mamako atakupa jibu!
AvatarDuuu
Kama umemgonga subiri akugonge pianimekugonga like mkuu like na mimi
Kama hiyo niliyokumwagiaNi likes tu!
Ukhuty karudi wadau. Welcome back. Ushafuturu?.mm mm.
Nilikuwa natafuta katecno kangu nimekapata aiseeeeMkuu, ulikuwa wapi?
Maneno ni mawili tu! KULA LIKE!!Wakuu wekeni posti hizo nilike basi!!!!!!!!
Nimeipata shemela ahsanteNshaipokeaa shem kipenziii
Nawe chukua yangu
Joka la mdimu|i]Watoto wa mama ntilie
NishakujazaJaza ujazwe