mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahahahaha dah andjul kama wewe unafanyaje"Baba amejua,amesema kamlete mpumbavu wako hapa" kibaya zaidi binti anatokea paleee kwenye kota za FFU[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ndo moto wa uzi huu..Toa likes pata likes.
Mkuu upoGoddess Isis mambo vipi
jalala la kila aina ya uchafu [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukubwa
Jalala
Tumeamka mkuuRaia mmekimbilia wapi? ISIS Kichwa Kichafu mzee wa liver Numbisa Cole Williams @Myamwombe Kujeni jamani au ndo mmelala?
Good morning my dearGood morning
kweli kabisa...baada ya sala unapita kutoa likes mbili tatu [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimegundua
Wengi wenu humu
Baada ya kuamka lazima
Mtaiba hata Dakika kadhaa za kupata na kutoa likes
Fegi zimeboreshwa, zimeondolewa nicotine, zimewekewa maziwa na asaliKutokana na mtandao wa worldometers.info,zaidi ya sigara bilioni 13.7 zimevutwa siku ya leo duniani.
Watu wanakula fegi si mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app