Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Ukubwa
Jalala
Jalala
Mia kwa mmojaKata mti panda miti
You're Correct Mkuu.Unapoagana na mtu usitumie neno "Goodbye" kwani ni neno linalotia uchungu, siku zote weka hope kwa kumuaga mtu na kumwambia "I will see u next time"
Member yupi amepgwa ban Nifanye upembuzi yakinifu.. NB: Nipo hapa kila sikuWe jamaa usijipe vyeo kama kiongozi wa kijeshi. mwenyekiti gani unakuja hapa Mara 1 kwa wiki ? member amepata ban hujafanya harakati zozote kumnasua!!
Sent using Jamii Forums mobile app