moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ni kweli mkuuHawatuwezi tumefunga milango yote ya uadui na tumegungulia upendo na amani tu pamoja na likes
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuuHawatuwezi tumefunga milango yote ya uadui na tumegungulia upendo na amani tu pamoja na likes
AMUN RATuombee sisi wakosefu
AMUN RATuwaombee wagonjwa wapone
Daa poleWeekend nakuwa nje ya mji kuna mawasiliano mabaya ya mtandao..ila nipo. Pia unajua jografia ya huku weekend ndio bize kuliko siku za kazi..
AMUN RAWenye shida mbalimbali wapate wepesi
AMUN RAWasio wachumba wapate
AMUN RAWasio na kazi wapate
AMUN RAWoote tupate riziki yetu kwa wepesi
AMUN RATuwe na furaha ya maisha
Wanachokochoko balaaNaona walipita kukagua Kiingereza. Ma-great Thinkers utawaweza?
Hongera sanaNipo mkuu tatizo majukumu yamenizidi mke wangu kaniletea zawadi duniani
Amna wasabatoKisukuma naweza. Lugha zingine siwezi. Mbona unauliza hivyo? Una kwaya unataka ni-join ama?
HahahahahahaHongera sana mkuu.Ni juzi tu na wewe umetoka kuzaliwa...kijana unajua kurenga[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]