Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanadamu huwa hatuyaoni haya, tunawaza fwedhwa, ungozi na umaarufu, lakini hatutki kushukuru tuna macho ambayo hatukuyaomba, miguu mikono, ubongo wenye afya nk. Tumshukuru mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uhai
Pure oxygen
Ni vitu adimu sana na tunapata Bure kabisa
Embu fikiria kama hewa safi ingenunuliwa wangapi wangemudu
 
2c9afa1690fe7f9b28e1abb4401209a3.jpg
 
Back
Top Bottom