moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
ImpressiveIdadi ya watu duniani ni approximately 7.5 billion, so nusu yake wanatumia net muda huu tukiwemo Mimi na wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kula like kwanzaMzee ngoja anijibu kama nitapata sababu... real nikiona jina lake na picha za avatar anazoweka-ga nakuta zinanivutia
Umefuata nini huku?Katika nyuzi zinazoboa huu ni mmoja wapo hauna hata maana
Ati uzi unaboa!!?Maadam umekuja basi kamata likes acha maneno mengi mkuu.