Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Vipi tena shemeji? Are you OK?Mwili umebaki kongoro,nyama sina ni mifupa[emoji445] [emoji445] [emoji445]
Vipi tena shemeji? Are you OK?Mwili umebaki kongoro,nyama sina ni mifupa[emoji445] [emoji445] [emoji445]
Mi ndo najiandaa. Nitaleta mrejesho!Habari ya ibada wale mlioenda ibadani
By mzee wa liver*Dunia haijali mazuri unayofanya hata ukiyafanya mara milioni, lakini fanya baya moja uone jinsi watakavyo kulaumu..*
Unatamatani kwenda paradiso lakini uwezi kufika huko mpka ufe hapo ndipo patamuHow can you fear death? It is inevitable!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mchungaji leo kajipendekeza kumuita kijana mmoja mtanashati utufungulie ibada kwa maombi. Watu wote wakafumba macho na jamaa akaanza!
EE GOD TAZAMA WANAO TUKO FITI KISHENZI, HAMNA NOMA WALA NDUMBA, AMANI MWANZO MWISHO, YANI MZUKA ILE MBAYA. MWANAO ALIDEDI MSALABANI KISA MAWENGE YETU CC MAJITA, NAJUA UNATUPIGANIA KICHIZI, YANI GOD NIMEKUBALI WEWE NI JEMBE NA MSHUA WA WOTE, AMEN .
Mchungaji hoi, KUMBE JAMAA ALISHA VUTA CHA TARIME MARA
Nitashukuru shemejiMi ndo najiandaa. Nitaleta mrejesho!
Giving to who?"Giving is to reshape ur destiny"
Am good shemeji mesikia hiyo nyimbo tu hapa nilipoVipi tena shemeji? Are you OK?
Na hakuna anayetaka kwenda wakati huu!Unatamatani kwenda paradiso lakini uwezi kufika huko mpka ufe hapo ndipo patamu
Bonge la sala ujumbe umefikaMchungaji leo kajipendekeza kumuita kijana mmoja mtanashati utufungulie ibada kwa maombi. Watu wote wakafumba macho na jamaa akaanza!
EE GOD TAZAMA WANAO TUKO FITI KISHENZI, HAMNA NOMA WALA NDUMBA, AMANI MWANZO MWISHO, YANI MZUKA ILE MBAYA. MWANAO ALIDEDI MSALABANI KISA MAWENGE YETU CC MAJITA, NAJUA UNATUPIGANIA KICHIZI, YANI GOD NIMEKUBALI WEWE NI JEMBE NA MSHUA WA WOTE, AMEN .
Mchungaji hoi, KUMBE JAMAA ALISHA VUTA CHA TARIME MARA
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Nitashukuru shemeji
Usisahau SadakaMi ndo najiandaa. Nitaleta mrejesho!