cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Welcome[emoji4]akhsante jf nimejiunga leo,nmekutana na huu uzi da what a coincidence
Alikuwa anataka kuniingiza katika mtego wa kula ban. Nikaepa kiaina !!!Niliona jana
Kuna mtu alikuwa
Anakuchokonoa
Dogo atashine ile mbaya pale alikuwa kafichwa na Merci. Vipi keshajiunga au ndo weekend mood.Welcome to PSG Neymar Jr
Na kweli aise. Basi umeangukia penyewe. Katika uzi huu ni furaha tu. Kama una picha, michapo, methali, misemo na hata cho chote kile we weka tu. Utapata likes za kutosha ila na wewe tu ukumbuke kuwapa likes wengine bila kubagua. Ukichoka hapa kuna jukwaa la siasa ni mashuhuri sana kama unapenda siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akhsante jf nimejiunga leo,nmekutana na huu uzi da what a coincidence
akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora hukuNa kweli aise. Basi umeangukia penyewe. Katika uzi huu ni furaha tu. Kama una picha, michapo, methali, misemo na hata cho chote kile we weka tu. Utapata likes za kutosha ila na wewe tu ukumbuke kuwapa likes wengine bila kubagua. Ukichoka hapa kuna jukwaa la siasa ni mashuhuri sana kama unapenda siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hukutukanwa?akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora huku