Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

akhsante jf nimejiunga leo,nmekutana na huu uzi da what a coincidence
Na kweli aise. Basi umeangukia penyewe. Katika uzi huu ni furaha tu. Kama una picha, michapo, methali, misemo na hata cho chote kile we weka tu. Utapata likes za kutosha ila na wewe tu ukumbuke kuwapa likes wengine bila kubagua. Ukichoka hapa kuna jukwaa la siasa ni mashuhuri sana kama unapenda siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…