cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora huku
Pole[emoji3]akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora huku
wanatukana mkuu, kama ulikuwepo vileHukutukanwa?
Hapa ni TOA LIKES POKEA LIKES...
pole sana,karibu jf...akhsante mkuu , nimeanzia kule jukwaa la siasa nimeandika vitu kuntu watu hata awalike wanalike wale walioandika pumba tu, bora huku
Aaa wapi! Mtaani ningekuwa nashinda kwenu [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈjf ni kama mtaani tu
TANZANIA inatuhusu sana!
hahaaaa ningekukaribisha tu mbona...Aaa wapi! Mtaani ningekuwa nashinda kwenu [emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ[emoji125]ββοΈ
Mi niliitwa kibuyu juzi juzi tu hapa dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana,karibu jf...
huko siasani hukuitwa hata kikombe?πππππ
Aiseeeee! Duniani hapa yaani we acha tu!
pole sana shemejiππππet kibuyuMi niliitwa kibuyu juzi juzi tu hapa dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una roho njema shemeji. Asante!hahaaaa ningekukaribisha tu mbona...