Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Nilikuwa napitapita kidogo huko kwenye mitandao ya kijamii
Nimekuta hii picha huyu dogo ni Diwani wa kakonko huku kigoma kupitia CDM madiwani wote walialikwa kwenda kumsikiliza mh Rais kwenye uzinduzi wa barabara madiwani wa ccm walikuja na sare ya Chama chao huyu dogo akapiga skafu ya CDM hapo ndilo sakasaka lipoanzia watu TISS na Polisi walimtaka atoe hiyo skafu kwakweli aligoma aisee kuna watu JASIRI na SHUJAA huyu sijui nimwiteje.
 
DOGO ANA CONFIDENCE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…