Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

"Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." *Harry_Truman*

[emoji818] Kwa mara ya kwanza Wamarekani wamepata rais ambaye hataki kushtumiwa. Ukimgusa tu jiandae kula za uso kupitia tweets...
Afadhali yeye ana tweet lakini kuna mwingine ukimsema tu unapima mkojo
 
IMG_2874.JPG
 
Back
Top Bottom