The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Hivi Vita inapokwenda kupigana uwa wanajeshi wanaagwa mpka na maaskofu na kuwaombea so its maaskofu wanaombea wengine kufa"Lengo la kwanza la vita sio kufa kwa ajili ya nchi yako, hapana. Bali ni kuua mtu mwingine kwa ajili ya nchi yake." *George_Patton.*
Hapo umenifungua macho kama sio masikio"Propaganda ikitumiwa vizuri inaweza kumfanya mtu aone kuwa paradiso ndio jehanam na jehanam ndio paradiso." *Adolf_Hitler.
Hahahaha naweza kuwa mimi
Mtoto tukutane Tanga Beach baada ya saa moja
Mpumbavu hahahaha"Kuna watu wawili tu wasioweza kubadili mawazo. Mpumbavu kuliko wote na mwenye hekima kuliko wote." *Plato
Mkuu umesusa sana jukwaa la man u vepeee...????[emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134]Sema
Nani pale nani paleNaomba nanii yule naniii yuleee apate huu ujumbe