cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Safi sanaNa kweli aise. Basi umeangukia penyewe. Katika uzi huu ni furaha tu. Kama una picha, michapo, methali, misemo na hata cho chote kile we weka tu. Utapata likes za kutosha ila na wewe tu ukumbuke kuwapa likes wengine bila kubagua. Ukichoka hapa kuna jukwaa la siasa ni mashuhuri sana kama unapenda siasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaHukutukanwa?
Hapa ni TOA LIKES POKEA LIKES...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc
Kichwa kichafu
Ho chi Minh