DuhView attachment 548736
Sorry, mimi ni Isis Goddess of 10000 names
Hata mbege hairuhusiwi? Goddes alikuwa haruhusu rituals zenye kuhusisha alcohol ama?Yup
My faith
Hahahaha
Mvua
Hahahaha SHIMBASema mkuu mwenye iPhone 7. Karibu sana. Hata watumiaji wa TECNO tupo tumejaa tele! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Another ya Buyenze [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo likes zinasua sua...Uzi unasonga mbele
Pamoja na ho chi Minh sijaona muda sana Kichwa kichafu itabidi hatueleze wako wapi hawa watu
NopeHata mbege hairuhusiwi? Goddes alikuwa haruhusu rituals zenye kuhusisha alcohol ama?
Asante mkuu, pa1 sana.Heshima yako Mkuu.
Tupo kama kawaida karibuHamjambo jambo humu Wakuu?
Hongera sana Kacnia. That's my dream one day. I hope I live to see that day!Nipo mkuu tatizo majukumu yamenizidi mke wangu kaniletea zawadi duniani