Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,770
Ukitaja makinikia nakumbuka noah zetu mkulu ametuahidi!!Aina ya makinikia ya shaba
Aisee kweli kabisa yaani ni super sonic speedThread inakimbia sana, yaani ukimreply mtu tu basi ujue umeachwa page 2 kama sio 1.
[emoji15] umeiba picha ya Miss NatafutaNi mjeda wa jeshi la anga katika kikosi maalum cha jeshi la Jamhuri ya Wagagagigikoko!
Nawe pia rafikiKabisa rafiki. Uwe na jioni njema
Chukua like kabisaWakuu, baadae. Nataka kuzima data nilale walau kidogo.
UtalogwaKwa mamlaka niliyopewa Mimi moderator cole Williams nafunga uzi huu
Hakika, hata lile ulilotakiwa kulimalizia kutoka kwenye msemo wa FF umelikwepa kiutu uzima. Hongera sanaNdio hulka yangu hiyo mkuu
Ha ha haaa mkuu huo utani wako kwa jamaa nna mashaka nao.Muangalie na waume zenu huko jamani wasikose huduma kisa likes. Ni aibu mtu kulimwa talaka kisa likes [emoji23][emoji23][emoji23]
Umefunga?Uji time is nearby
Mbona nilituma ujumbe ujiandae tutoke tukapate nyama chooma jmnNgoja nianze kujisogeza kwa majirani nikagongee futari
Sawa ,hutaki kunifahamu mimi?
Hataendelea kukosa like[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Ila cha ajabu naona hagawi likes .
OnjaNashindwa kuelewa hizo likes zinaliwa? ?
Tutakula daku hapa ni like tuMuda wa futuru
MwifwaBack again.
Duuuhhh 18k replies
I can't imagine
[emoji7] [emoji7] [emoji7].mm mm.
Mazuri yanapendezaMaua