Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
yaani nilikuwa nikiona ile ya cole nadhan ndo wewe daaah...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji2][emoji2]imerudi sasa
Kula likes kwanza lakini post yako inajionyesha jinsi ulivyo typically we ni mchoyo wa chakula
na sisi tunakutendea haki huku mbele....[emoji2] [emoji2]
Viongozi wetu wanatuangusha sana imagine hile mikataba ya madini tuliyoingia sisi watzI wish mataifa ya Afrika tungelielewa hili. God gave us everything!
Sasa hivi ukiona ina makopa kopa ndo Cole[emoji2][emoji2]yaani nilikuwa nikiona ile ya cole nadhan ndo wewe daaah...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
I wish the dream came trueBelieve me tutafika tu!
Kama vile bahari isivyo weka uchafu na ndiyo hivyo nchi yetu Tanzania itakayo kuwa!
Mark my words walahi!
Mkuu pamoja sanaWahenga nimeamua kurudi kurasa za nyuma kabisa, yani 12 hrs ago, huku nitkumwagieni likes za kufa mtu.
Sent using Jamii Forums mobile app
MrudisheniHuyooo anatoroka na likes
hapana mkuu likes haziwez kuisha watu wapo weekend tu wakija humu utashangaaa