500 naona bado mkuu. Ila ukiendelea kutoa na kupokea likes leo leo hii utagonga hata 2K...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali, Sijawahi kufikisha like 500, ndio kwanza leo!
Nisaidie
Mwenyekiyi huyu ni lijipu[emoji23]Unaona,, unajifanya mwenyekiti lakini hujui kama member amepigwa ban
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu nimepita jukwaa lako lile la Man u watu wamekumiss kule [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanalalamika post zako wamezikosaWenger is missing in action
tupo poaaa za jumapili???Hamjamboee
endelea kubaki hapa hapaAfadhali, Sijawahi kufikisha like 500, ndio kwanza leo!
Katelekeza jukwaa lake kwa ajili ya LIKES? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu nimepita jukwaa lako lile la Man u watu wamekumiss kule [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] wanalalamika post zako wamezikosa
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app