Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Yeah kuna hilo tatizo. Tusipoangalia tutakuwa kama thread zingine tu!Ukurasa wa 18,208 hakuna likes, kuna member wana 2 wengine hawana likes kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ma LIKES utayapata. Na wewe toa ma likes ya kutosha!napendaga ma likes.. camera action napendaga ma followers..
Poromosha matusi ya nguoni kwa mods au vigogo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NATAKA KUWA BANNED,NIFANJEJE?
Winner of today loser of tomorrow