Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu chakii simuelewi elewi
 
Asante my Queen kwa ujasiri unaonipa hila viongozi wetu hawa dah
Usi focus sana kwao, wewe fanya mambo yako tu!
Tafuta pesa utazipata!
Focus kwenye maisha yako tu!
HESHIMU MAMLAKA ILIYOKO MADARAKANI!
Mwenye Enzi Mungu anajua analo lifanya!
Polics is a dirty game!
Hiyo energy uliyo nayo saka michuzi!
Utashangaa walahi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…