Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23]wanaume hawaaminiki ukiwa hivyo atakuacha akatafute mwembamba tena mwenye flatscreen...halafu wanawake wengi tunajisahau tukisha zaa,sasa niwe hivyo halafu nizae nijiachie si atanikimbia shemeji tena kimbio lenyewe na parables juu[emoji23][emoji23]
U don't need a reason to love someone,mwenye mapenzi ya kweli hua haoni ingawa macho anayo.
 
[emoji23][emoji23]wanaume hawaaminiki ukiwa hivyo atakuacha akatafute mwembamba tena mwenye flatscreen...halafu wanawake wengi tunajisahau tukisha zaa,sasa niwe hivyo halafu nizae nijiachie si atanikimbia shemeji tena kimbio lenyewe na parables juu[emoji23][emoji23]
Hapana shemeji. Huyu mbona ana watoto wanne? Ni kujitunza tu...na kumjua hubby anapendelea vitu gani? Na kumtimizia mahitaji yake. Ili hata akipotea njia unakuwa na haki ya kumtimua....
 
Back
Top Bottom