mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Carbamazepine jumapili ikojeNaona mnaongea lugha moja na ISIS inapendeza sana[emoji6] [emoji6]
Carbamazepine jumapili ikojeNaona mnaongea lugha moja na ISIS inapendeza sana[emoji6] [emoji6]
Hahaha, ujuaji mwingi kumbe mtu hujui kituKama hujui uliza,usije uka order juice ya Pilipili.
Saidi mwema.Niwatakie usiku mwema
Nashukuru Mungu ilikua njema kabisa...sijui pande za masakiCarbamazepine jumapili ikoje
Umbo la Kibantu kama hili shemu siyo mbaya. Unakuwa na minofu lakini uko tight and healthy. Yaani hapo hata ukikohoa tu paraboz zinaanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si ntaachwa shemeji,mdogo ako ataenda tafuta wenyewe wanaita ingilishifiga sijui[emoji23][emoji23][emoji23]...unene hapana kwakwel
Ni bora ukajifanya hujui ili ujue zaidi kuliko kujifanya unajua kumbe hujui..!!Hahaha, ujuaji mwingi kumbe mtu hujui kitu
tuendelee kukumbushana hivi hiviBadala ya kukimbilia kukwoti toa likes kwanza...TOA LIKES POKEA LIKES....