ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
HahahahaNasikiaga
Eti una mapicha ya kutisha
Ngoja leo nisubir mida mibovu
Nam nione ili nipime yatanitisha
Au raha
Saa ya majini na wanga
Night world
HahahahaNasikiaga
Eti una mapicha ya kutisha
Ngoja leo nisubir mida mibovu
Nam nione ili nipime yatanitisha
Au raha
[emoji2] [emoji2]Maisha magumu
Watu wanatafuta wa kuwalaumu.
Hata Mkuu Rutashubanyuma amesaliti Chama kwa ajili ya Uzi huu
HahahahaHata Mkuu Rutashubanyuma amesaliti Chama kwa ajili ya Uzi huu
Those were the daysHahahahahah lol! Asante Kotoko nasikia kuna ushindi mwingine walikuwa wanashinda kwa kurusha sarafu baada ya kukipiga Dar na Kumasi sare sare kasha inarushwa sarafu, ila sijui ukweli wa hili.
Wiki Mbili 45,000 likes
Mungu ampe nini kule kasema hawana shukurani
True bhana jamaa ana post 73,000+ likes zilikuwa 8000
Yap huyo mkali