Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
De Gea aokoa penati ya pili
[emoji23][emoji23]utaomba pooUnajua huyo mtoto ni wa kule juu ugwenoni huko...ni mwendo wa kupanda na kuporomoka milima,sijui kizaazaa chake akiamka
Bora unibembeleze labda naweza pata usingiziHaya nimeanza
Kuku bembeleza
Ushuri ulioambatana na hasira baada ya kukosa usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mchezaji kama huyo ni hasara toa nje kabisa[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nimeanza kupokelewa hapo tangu panaitwa Ubungo mizaniKwani nauli shi ngap hadi ukatae[emoji23][emoji23][emoji23]hutaki kupokelewa stendi ya mkoa[emoji23][emoji23][emoji23]
Generous person walahi!Tuko wachache humu aisee hata mazungumzo yamewezekana...
Kukichemka humu mtu unaweka comment dakika mbili unarudi unakuta kurasa saba tayari zimeshakimbia....
Asanteni nyote kwa upendo huu jamani...