Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Maadui bado wapo na wana nguvu za kutosha. Adui maradhi tunaye, adui ujinga bado yupo, umasikini bado tunaye.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mdomo wangu una umba nikisema wamekufa na uhakika wamekufa kweli!
Hayo pia yamekufa
Be positive thinking in your life!
Usikubali kuwa defeated
Wenzetu waliijua hiyo zamani ndiyo maana wakajiita wazungu meaning the glorified one!
Jitamkie mambo mema kwako na familia yako na nchi yako!
UTAKULA MANENO YA KINYWA CHAKO
 
Adui hajiondoshi, tuunganishe nguvu tumtoe

Sent using Jamii Forums mobile app
Atatoka tu kwa MASSIV POWERS BEYOND HUMAN THINKING POWERS!
UNIVERSE inavyo ona, siyo kwa macho ya binadamu yaliyo jaa uchu wa madaraka na uroho uliyo pita kiasi!
Kwa nini nitumie nguvu kwa kuharibu my beautiful life on this amazing EARTH!
Acha UNIVERSE ifanye kazi yake, wewe chagua kuishi na ku enjoy life!
Good morning my dear!
 
Mdomo wangu una umba nikisema wamekufa na uhakika wamekufa kweli!
Hayo pia yamekufa
Be positive thinking in your life!
Usikubali kuwa defeated
Wenzetu waliijua hiyo zamani ndiyo maana wakajiita wazungu meaning the glorified one!
Jitamkie mambo mema kwako na familia yako na nchi yako!
UTAKULA MANENO YA KINYWA CHAKO
Naamini kwenye matendo (hatua) siamini kwenye maneno. Utapoteza muda ukiamini unaweza kumbe huwezi na kujifunza hutaki. Maadui watatu bado tunao, tuungane ili tuchukue hatua KUMKOMESHA adui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini kwenye matendo (hatua) siamini kwenye maneno. Utapoteza muda ukiamini unaweza kumbe huwezi na kujifunza hutaki. Maadui watatu bado tunao, tuungane ili tuchukue hatua KUMKOMESHA adui

Sent using Jamii Forums mobile app
Amesha koma kwa upande wangu!
Sasa let us agree ku disagree
Please live your life according to your capacity of thinking and let me be!
Kula likes maana ndiyo motto wa huu uzi siyo mabishano!
Kula likes!
I love my country TANZANIA
I love my city Dar es Salaam
And let it be that way, no toxic anger in the morning jamani!
TAKE IT AWAY KABISA!
 
IMG_2769.JPG

Back
Top Bottom