Mdomo wangu una umba nikisema wamekufa na uhakika wamekufa kweli!Maadui bado wapo na wana nguvu za kutosha. Adui maradhi tunaye, adui ujinga bado yupo, umasikini bado tunaye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atatoka tu kwa MASSIV POWERS BEYOND HUMAN THINKING POWERS!
Naamini kwenye matendo (hatua) siamini kwenye maneno. Utapoteza muda ukiamini unaweza kumbe huwezi na kujifunza hutaki. Maadui watatu bado tunao, tuungane ili tuchukue hatua KUMKOMESHA aduiMdomo wangu una umba nikisema wamekufa na uhakika wamekufa kweli!
Hayo pia yamekufa
Be positive thinking in your life!
Usikubali kuwa defeated
Wenzetu waliijua hiyo zamani ndiyo maana wakajiita wazungu meaning the glorified one!
Jitamkie mambo mema kwako na familia yako na nchi yako!
UTAKULA MANENO YA KINYWA CHAKO
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji1]Nadhani muda wake ushapita! Ni zamu ya akina Toto Tundu!
Amesha koma kwa upande wangu!Naamini kwenye matendo (hatua) siamini kwenye maneno. Utapoteza muda ukiamini unaweza kumbe huwezi na kujifunza hutaki. Maadui watatu bado tunao, tuungane ili tuchukue hatua KUMKOMESHA adui
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini kwenye matendo (hatua) siamini kwenye maneno. Utapoteza muda ukiamini unaweza kumbe huwezi na kujifunza hutaki. Maadui watatu bado tunao, tuungane ili tuchukue hatua KUMKOMESHA adui
Sent using Jamii Forums mobile app
YeahIt's a new sunrise full of blessings
18395. Kwenye ukurasa huu member hawajapata likes zao kabisa na waliopata ni chache.Kama mnavyoona huku nyuma hakuna likes jamani. Lengo letu hapa ni kutoa na kupokea likes no matter what...
Kama mnavyoona huku nyuma hakuna likes jamani. Lengo letu hapa ni kutoa na kupokea likes no matter what...
BelieveYeah
Be blessed my dear