Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,861
Kila mtu nimempa like yake
Asante kiongozi, chukua like yakoAcha siasa humu
Taja mambo muhimu wakati wa kuandika barua ya kirafiki
Kuwa makini lakini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haka kamchezo cha kupeana like nimekapenda sana
Labda upeleke msumbiji,sote tutakuwa nazo.Noah yangu ikija nitaiuza
Mambo my
Naona like zinanipita narudi kwa fujoNoah yangu ikija nitaiuza
Babe S naomba picha yako hapo kwa avatarSijambo......nakula likes tu hapa!
Na nini my sweetKuwa makini lakini
weka like ingine hapa umakini baadaeKuwa makini lakini
MhhLike bila maarifa ni sawa na kufunga bila sala
Jaza ujazwe[emoji23][emoji23]Na nini my sweet
Mimi bado sijajazwa na nipo Font ferd hapaWacha tujazane bwana
JembekiloNani kapitisha sheria ya kupeana likes kama vijisenti vya mtemi Chenge?