Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
DuhNimegundua
Ukitaka kujiona
Mwembamba tembea na
Vibonge
DuhNimegundua
Ukitaka kujiona
Mwembamba tembea na
Vibonge
Habari yako mkuu Rutta, nasubiri udondoshe neno nimwage likesKumekuchaaa
Rescue huyu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Rescue huyu
Mzee mnasingizia sana
Asante kwa taarifa, watumishi wa uma wataifanyia kazi taarifa yako➣ *TAARIFA*
Kwa mara ya Kwanza Serikali imelipa Mishahara ya Watumishi wa Umma wote kwa siku Moja kwa Mfumo wa GSPP
Kama utakuwa hujapata Mshahara basi uelewe kuwa kuna tatizo kwenye Taarifa zako
TANGAZO:
Mishahara imetoka ni vema kila mtumishi akajiridhisha kama akaunti yake imepokea fedha.ni Muhimu sana.tumia NMB mobile au ucheki ATM.Ndiyo system mpya imeanza ya kuingiza mishahara.ENDAPO MSHAHARA HAUJAINGIZWA KWENYE AKAUNTI YAKO,TOA TAARIFA KWA AFISA UTUMISHI KABLA YA KESHO SAA 4 ASBH.
Upatapo ujumbe huu mjulishe na mwenzako.
Hahahahaha wewe jamaaa weweSehemu za siri zingekuwa zinaonesha "last seen" kama Whatsapp kuna wengine wangekuwa "online" now..!!
AMUN RAAMUN RA
The one and onlyGoddess Isis